Posts

Showing posts from March, 2026

SHUWASA YAIMARISHA MIKAKATI YA UTOAJI HUDUMA ZA MAJI

Image
  Mkurugenzi wa SHUWASA, Mhandisi Yusuph Katopola. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imekutana na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Shinyanga kupitia Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (SPC) katika kikao kazi kilicholenga kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano na kuboresha utoaji wa huduma za maji safi na usafi wa mazingira kwa wananchi.